Kisambalpuri

Kisambalpuri (pia Kioriya ya Magharibi au Kikosali) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waoriya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisambalpuri imehesabiwa kuwa watu 519,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisambalpuri iko katika kundi la Kiaryan.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search